Papa Boniface VI alikuwa Papa kwa siku 15 (tarehe 11 hadi 26 Aprili 896) hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Papa Bonifasi VI.

Alimfuata Papa Formosus akafuatwa na Papa Stefano VI.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.