Papa Formosus

Papa Formosus (takriban 8164 Aprili 896) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6 Oktoba, 891 hadi kifo chake[1]. Kabla ya hapo alikuwa askofu wa jimbo la Porto, Lazio, Italia[2].

Papa Formosus.
Papa Stefano VI akilaumu maiti ya Papa Formosus walivyochorwa na Jean-Paul Laurens mwaka 1870.

Alimfuata Papa Stefano V akafuatwa na Papa Boniface VI.

Maiti yake ilichimbuliwa na kunajisiwa na Papa Stefano VI katika Sinodi ya Maiti kwa sababu za kisiasa.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

Marejeo mengineEdit

  • Bautz, Friedrich Wilhelm (1990). "Formosus, Papst". In Bautz, Friedrich Wilhelm (in de). Biographisch-Bibliographisches Kirchenlexikon. 2. Hamm, Germany: Bautz. cols. 70–71. ISBN 978-3-88309-032-0
      . http://www.bbkl.de/f/formosus_p.shtml.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Formosus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.