Papa Gelasio II
Papa Gelasio II, O.S.B. (alifariki 29 Januari 1119) alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Januari au 10 Machi 1118 hadi kifo chake[1]. Alitokea Gaeta, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Caetani au Coniulo.
Alikuwa mmonaki wa Wabenedikto wa Monte Cassino (Italia).
Alimfuata Papa Paskali II akafuatwa na Papa Callixtus II.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Barraclough, Geoffrey (1964). The Medieval Papacy. Thames and Hudson. ISBN 0-500-33011-5.
- Duffy, Eamon (1997). Saints and Sinners. A History of the Popes. Yale University Press. ISBN 0-300-07332-1.
- Rudolf Hüls (1977). Kardinäle, Klerus und Kirchen Roms: 1049–1130. Bibliothek des Deutschen Historischen Instituts in Rom. ISBN 978-3-484-80071-7.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Gelasio II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |