Papa Honorius IV (takriban 12103 Aprili 1287) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2 Aprili/20 Mei 1285 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Papa Honori IV.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giacomo Savelli.

Alimfuata Papa Martino IV akafuatwa na Papa Nikolasi IV.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Honorius IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.