Papa Hyginus

Papa Hyginus alikuwa papa kuanzia takriban 138 hadi kifo chake takriban 142/149[1]. Alitokea Ugiriki.

Papa Hyginus.

Alimfuata Papa Telesphorus akafuatwa na Papa Pius I.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 11 Januari[2].

Tazama piaEdit

Maandishi yakeEdit

TanbihiEdit

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Hyginus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.