Papa Pius I
Papa Pius I alikuwa papa kuanzia takriban 140 hadi kifo chake takriban 154.
Alimfuata Papa Hyginus akafuatwa na Papa Anicetus.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
MarejeoEdit
- This article incorporates text from a publication now in the public domain: Herbermann, Charles, ed. (1913). "Pope St. Pius I". Catholic Encyclopedia. Robert Appleton Company.
- "Lives of the Saints, For Every Day of the Year," edited by Rev. Hugo Hoever, S.O.Cist., Ph.D., New York: Catholic Book Publishing Co., 1955, pp 511
Viungo vya njeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |