Papa Innocent X

Papa Innocent X (6 Mei 15747 Januari 1655) alikuwa Papa kuanzia tarehe 15 Septemba 1644 hadi kifo chake.

Papa Inosenti X.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Battista Pamphilj.

Alimfuata Papa Urbano VIII akafuatwa na Papa Aleksanda VII.

Viungo vya njeEdit

Papa Innocent X katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.