Papa Innocent XIII

Papa Innocent XIII (13 Mei 16557 Machi 1724) alikuwa Papa kuanzia tarehe 8/18 Mei 1721 hadi kifo chake[1]. Alitokea Poli, Italia[2].

Papa Inosenti XIII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Michelangelo Conti.

Alimfuata Papa Klementi XI akafuatwa na Papa Benedikto XIII.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent XIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.