Papa Marcello II

(Elekezwa kutoka Papa Marcellus II)

Papa Marcello II (6 Mei 15011 Mei 1555) alikuwa Papa kuanzia tarehe 9/10 Aprili 1555 hadi kifo chake[1]. Alitokea Montefano, Italia[2].

Papa Marcello II.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Marcello Cervini.

Alimfuata Papa Julius III akafuatwa na Papa Paulo IV.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Marcello II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.