Papa Nikolasi III

(Elekezwa kutoka Papa Nikola III)

Papa Nikolasi III (1210/122022 Agosti 1280) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Novemba/26 Desemba 1277 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Papa Nikolasi III.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Gaetano Orsini.

Alimfuata Papa Yohane XXI akafuatwa na Papa Martino IV.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Nikolasi III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.