Papa Siricius

Papa Siricius.

Papa Siricius alikuwa papa kuanzia 17 Desemba 384 hadi kifo chake tarehe 26 Novemba 399. Alimfuata Papa Damaso I akafuatwa na Papa Anastasius I.

Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake.

Tazama piaEdit

Maandishi yakeEdit

Viungo vya njeEdit

Kuhusu Papa Siricius katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Siricius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.