Papa Stefano I

Stephen I.jpg

Papa Stefano I alikuwa papa kuanzia 12 Mei 254 hadi kifodini chake tarehe 2 Agosti 257. Alimfuata Papa Lucius I akafuatwa na Papa Sisto II.

Aliuawa na maaskari wa Kaisari Valerian.

Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 2 Agosti [1].

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. "Martyrologium Romanum" (Libreria Editrice Vaticana, 2001 ISBN 88-209-7210-7)

Maandishi yakeEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Stefano I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.