Papa Lucius I

Papa Lucius I.

Papa Lucius I alikuwa papa kuanzia 25 Juni 253 hadi kifo chake tarehe 5 Machi 254. Alimfuata Papa Kornelio akafuatwa na Papa Stefano I.

Anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe ya kifo chake.

Tazama piaEdit

Maandishi yakeEdit

Viungo vya njeEdit

Kuhusu Papa Lucius I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Lucius I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.