Papa Stefano II
Papa Stefano II alikuwa Papa kuanzia tarehe 26 Machi 752 hadi kifo chake tarehe 26 Aprili 757[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2] katika familia Orsini[3][4].
Alimfuata Papa Zakaria akafuatwa na Papa Paulo I.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
- ↑ https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
- ↑ Norwich, J. J. "The Popes: A History", p. 756. 2011
- ↑ George L. Williams, Papal Genealogy, (McFarland & Company, 2004), 215.
Viungo vya nje
hariri- Kuhusu Papa Stefano II katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
- Catholic Encyclopedia: Papal States, section 3: Collapse of the Byzantine Power in Central Italy
- Medieval Sourcebook: Ilihifadhiwa 22 Mei 2011 kwenye Wayback Machine. Annals of Lorsch
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Stefano II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |