Papa Theodor I

Papa Theodor I alikuwa Papa kuanzia tarehe 12 Oktoba/24 Novemba 642 hadi kifo chake tarehe 14 Mei 649[1]. Mzaliwa wa Yerusalemu (Israeli)[2], alikimbilia Roma Waislamu walipoteka Nchi Takatifu.

Papa Theodori I.

Alimfuata Papa Yohane IV akafuatwa na Papa Martin I.

Alipinga uzushi wa waliokanusha Yesu kuwa na utashi wa kibinadamu.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 18 Mei.[3]

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Theodor I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.