Papa Viktor III

(Elekezwa kutoka Papa Victor III)

Papa Viktor III, O.S.B. (takriban 102616 Septemba 1087) alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Mei 1086 au 9 Mei 1087 hadi kifo chake[1]. Alitokea Benevento, Italia[2].

Mwenye heri Vikta III.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Dauferius (Desiderius).

Alimfuata Papa Gregori VII akafuatwa na Papa Urbano II.

Papa Leo XIII alimtangaza mwenye heri.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Viktor III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.