Rudolf Sherwin
Rudolf Sherwin (Rodsley, Derbyshire, 25 Oktoba, 1550 – Tyburn, 1 Desemba 1581) alikuwa padri wa Uingereza.
Mwaka mmoja baada ya kupata digrii ya pili aliacha ushirika wa Anglikana ili kujiunga na Kanisa Katoliki, alipata upadrisho huko Ufaransa mwaka 1577 alikwenda Roma alikokaa miaka 3[1], halafu akatumwa kwao alipofanya utume kwa siri miezi michache tu[2].
Alipokuwa gerezani mwaka mzima aliongoa wengi na hatimaye alinyongwa na kukatwa vipandevipande. Maneno yake ya mwisho yalikuwa: "Iesu, Iesu, Iesu, esto mihi Iesus!"[3].
Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius IX mwaka 1929 na mtakatifu mwaka 1976 na Papa Paulo VI.
Sikukuu yake huadhimishwa na Wakatoliki tarehe 1 Desemba[4].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ ""Douai, Ordination, and Rome", Saint Ralph Sherwin". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-12-09. Iliwekwa mnamo 2020-11-29.
- ↑ "St. Ralph Sherwin" by Father Robert F. McNamara Archived 1 Machi 2018 at the Wayback Machine. Retrieved on 1 Mar 2018
- ↑ "Blessed Ralph Sherwin". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913. http://www.newadvent.org/cathen/12636b.htm.. Accessed 2011-10-18.
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
hariri- "Blessed Ralph Sherwin" in Lives of the English Martyrs Declared Blessed by Pope Leo XIII by Edward S. Keogh, Dom Bede Camm. Vol. 2 (1905). (Vol. 1 has list of 63 martyrs and beatification decrees in English).
- "www.ralphsherwin.com" Archived 9 Desemba 2020 at the Wayback Machine. - site administered by the Sherwin Society.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |