Serboni (kwa Kilatini: Cerbonius; Afrika Kaskazini, 493 - Elba, Toscana, Italia, 575) alikuwa askofu wa Populonia wakati wa uhamisho mkuu wa Ulaya.

Mt. Serboni na wanyamapori, mchoro katika kanisa kuu la Massa Marittima.

Hapo alihamia katika kisiwa cha Elba alipotoa mifano ya utakatifu na kutenda miujiza mingi.

Gregori Mkuu alimsifu katika Kitabu XI cha Majadiliano.[1]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Oktoba.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. San Cerbone, il santo patrono di Massa Marittima. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-07-22. Iliwekwa mnamo 2019-09-13.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.