Severino wa Koln

Askofu wa Ujerumani na mtakatifu

Severino wa Koln (Worms, 320 hivi; Cologne, 403) alikuwa Askofu wa tatu wa Cologne, aliyepinga sana uzushi wa Ario.

Sanamu za Wat. Eberigisili na Severino, mnara wa ukumbi wa mji wa Cologne.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu kwa jinsi alivyostahili sifa katika maadili yote [1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Oktoba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.