Sidoni wa Rouen (pia: Sidonius, Sidoine, Saëns, Séadna; Ireland, karne ya 7Normandie, 690 hivi) alikuwa mmonaki chini ya Filibati wa Jumieges na ya kanuni ya Mt. Kolumbani akawa abati katika moja ya monasteri alizoanzisha mwenyewe kaskazini mwa Ufaransa [1].

Ndiye mlezi wa Leufridi.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[2] .

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka tarehe 15 Novemba [3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Rosa Giorgi, Le Petit Livre des saints, édition Larousse, 2006, p. 670 ISBN 2-03-582665-9

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.