Sisebuto wa Cardenya, O.S.B. (labda Burgos, Hispania, karne ya 11 - Cardenya, Hispania, 1086) alikuwa mmonaki wa monasteri ya Wabenedikto ya mji huo ambayo akawa abati wake na chini yake ilistawi sana pande zote[1].

Sanamu yake huko Burgos.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Papa Pius VI alithibitisha heshima hiyo mwaka 1780.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Machi[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.