Teresa Couderc

(Elekezwa kutoka Tereza Couderc)

Tereza Couderc (jina la kuzaliwa: Maria Viktoria; Mas de Sablieres, Ufaransa, 1 Februari 1805Fourvieres, Ufaransa, 26 Septemba 1885) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki ambaye alianzisha shirika la Masista wa Bibi Yetu wa Mafungo.

Picha yake.

Aliongoza shirika hadi alipoondolewa madarakani na watu waliompinga (1838). Hapo alishika utiifu kikamilifu[1].

Papa Pius XII alimtangaza mwenye heri tarehe 4 Novemba 1951 halafu Papa Paulo VI alimtangaza mtakatifu tarehe 10 Mei 1970.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Vyanzo hariri

  • Paule de Lassus, rc, "Thérèse Couderc, 1805-1885: la femme - la sainte" (Lyon: Lescuyer,1985)
  • K. Stogdon, "Expressions of Self-surrender in 19th-century France: The Case of Therese Couderc (1805-1885)," in Laurence Lux-Sterritt and Carmen Mangion (eds), Gender, Catholicism and Spirituality: Women and the Roman Catholic Church in Britain and Europe, 1200-1900 (Basingstoke, Palgrave Macmillan, 2011),
  • Saint Thérèse Couderc / Šv. Teresė Kudirka. (Livre). R.S. Butautas-Kudirka. Publisher Gediminas p. 210. Vilnius. 2015. ISBN 978-9955-806-08-0

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.