Tirol (Austria)
(Elekezwa kutoka Tirol (jimbo))
Tirol (kwa Kijerumani pia: Tirol) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 757.634 kwenye eneo la km² 12.648.
Waziri mkuu ni Günther Platter (ÖVP).
Jiografia
haririJimbo la Tirol limepakana na nchi za Italia na Ujerumani na majimbo ya Vorarlberg, Kärnten na Salzburg.
Innsbruck ndio jiji kubwa tu lenye idadi ya wakazi zaidi ya 119,000.
Picha
hariri-
Mto wa Lech
-
Bendera ya Tirol
Tovuti za Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Austria Chini (Niederösterreich) • Austria Juu (Oberösterreich) • Burgenland • Karinthia (Kärnten) • Salzburg • Steiermark • Tirol • Vienna (Wien) • Vorarlberg |
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tirol (Austria) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |