Mkoa wa Tshuapa

province of the democratic republic of Congo
(Elekezwa kutoka Tshuapa)


Mkoa wa Tshuapa ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Mkoa wa Tshuapa
Mahali paMkoa wa Tshuapa
Mahali paMkoa wa Tshuapa
Mahali pa Mkoa wa Tshuapa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Majiranukta: 0°44′S 19°12′E / 0.733°S 19.200°E / -0.733; 19.200
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Wilaya 6
Mji mkuu Boende
Eneo
 - Jumla 132,957 km²
Idadi ya wakazi (2020)
 - Wakazi kwa ujumla 1,944,500

Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,944,500.

Mji mkuu ni Boende.

Mahali

hariri

Mkoa umepewa jina la Mto Tshuapa. Uko kaskazini-magharibi mwa nchi, kwenye Mto Kongo.

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
 
Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Kati | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Uele Chini | Uele Juu
+/-
  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Tshuapa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.