Visiwa vya Turks na Caicos
(Elekezwa kutoka Turks and Caicos Islands)
Visiwa vya Turks na Caicos ni funguvisiwa la Karibi ambalo ni eneo la ng'ambo la Uingereza. Visiwa hivyo viko karibu na Bahamas.
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: One people, one nation, one destiny | |||||
Wimbo wa taifa: "God Save the Queen" | |||||
Mji mkuu | Cockburn Town | ||||
Mji mkubwa nchini | |||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali | Eneo la ng'ambo la Uingereza Elizabeth II wa Uingereza Richard Tauwhare Michael Misick | ||||
' |
|||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
417 km² (ya 199) | ||||
Idadi ya watu - 2006 kadirio - Msongamano wa watu |
32,000 (ya 156) 61/km² () | ||||
Fedha | U.S. dollar (USD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
UTC-5 (UTC) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .tc | ||||
Kodi ya simu | +1-649
- |
Visiwa vya Turks & Caicos
haririGrand Turk
haririHiki ni kisiwa kikuu penye uwanja wa ndege na ofisi za serikali.
Providenciales
haririNi kisiwa cha utalii.
West Cay
haririKisiwa kidogo
Viungo vya nje
hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Turks na Caicos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |