Visiwa vya Turks na Caicos

(Elekezwa kutoka Turks na Caicos)

Visiwa vya Turks na Caicos ni funguvisiwa la Karibi ambalo ni eneo la ng'ambo la Uingereza. Visiwa hivyo viko karibu na Bahamas.

Visiwa vya Turks na Caicos
Ramani ya Turks na Caicos
Ramani ya Turks na Caicos

Uvuvi ni msingi wa uchumi.

Visiwa vya Turks & Caicos hariri

Grand Turk hariri

Hiki ni kisiwa kikuu penye uwanja wa ndege na ofisi za serikali.

Providenciales hariri

Ni kisiwa cha utalii.

West Cay hariri

Kisiwa kidogo

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons


  Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Turks na Caicos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.