Umile wa Bisignano

Umile wa Bisignano (jina la awali: Luca Antonio Pirozzo; Bisignano, Cosenza, Italia Kusini, 26 Agosti 1582 - Bisignano, 26 Novemba 1637) alikuwa bradha mnyenyekevu ajabu wa shirika la Ndugu Wadogo Wareformati, maarufu kwa karama ya unabii na kutoka nje ya nafsi mara nyingi [1].

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Alitangazwa kwanza mwenye heri na Papa Leo XIII tarehe 29 Januari 1882, halafu mtakatifu na Papa Yohane Paulo II tarehe 19 Mei 2002.[2]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.