Veremundo wa Irache

Veremundo wa Irache, O.S.B. (pia: Bermudo; Navarra, Hispania, 1020 hivi - Irache, Ayegui, Hispania, 1092 au 1099) alikuwa mmonaki wa monasteri ya Wabenedikto ya Irache tangu utotoni akawa abati wake kwa miaka 40[1].

Sanamu yake huko Villatuerta (1999).

Alihamasisha juhudi kwa mfano wake wa kufunga na kukesha katika sala[2].

Papa Aleksanda III alimtangaza mtakatifu mwaka 1163.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Machi[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.