Vinsenti Maria Strambi

Vinsenti Maria Strambi (Civitavecchia, Italia ya Kati, 1 Januari 1745 - Roma, 1 Januari 1824) alikuwa askofu wa Shirika la Mateso (Wapasionisti) aliyeongoza kitakatifu majimbo ya Macerata na Tolentino[1], na kwa sababu ya uaminifu wake kwa Papa[2] alipelekwa uhamishoni[3][4].

Mt. Vinsenti Maria.

Tarehe 26 Aprili 1925 na Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri na tarehe 11 Juni 1950 Papa Pius XII alimtangaza mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Oktoba[5]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Saint Vincent Strambi". Sanctoral. Iliwekwa mnamo 31 August 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Saint Vincenzo Strambi". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 31 August 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Saint Vincent Strambi". Saints SQPN. 7 May 2017. Iliwekwa mnamo 31 August 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. Martyrologium Romanum
  5. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

  • Roger Mercurio, The Passionists (Collegeville, Minn.: Liturgical Press, 1991)
  • E. Schepers: "St. Vincent Strambi C.P.: The Faithful Servant" (Passionist Nuns, Whitesville, KY, 2004)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.