Wafiadini Wakopti wa Libya
Wafiadini Wakopti wa Libya ni Wakristo 20 wa Kikopti kutoka Misri[1] na Matthew Ayariga kutoka Ghana[2][3][4][5][6][7][8] waliotekwa na Waislamu wenye itikadi kali wa Daish huko Sirte, Libya, walipokuwa wanafanya kazi ya ujenzi tarehe 27 Desemba 2014 na mnamo Januari 2015.[9] Matukio ya dhuluma dhidi ya Wamisri nchini Libya yalianza katika miaka ya 1950.[10]
Hatimaye waliuawa kwa kukatwa kichwa kwa ajili ya imani yao[11][12][13][14][15], kama ilivyoonyeshwa katika video tarehe 15 Februari 2015[16]. Kifo chao kilithibishwa na serikali na Kanisa[17].
Tarehe 21 Februari 2015 Patriarki Tawadros II wa Alexandria aliwatangaza kuwa watakatifu[18]. Papa Fransisko amemuomba ruhusa ya kuwaingiza katika Martyrologium Romanum.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe ya kifodini chao, 15 Februari.
Majina yao
haririNi kama ifuatavyo[19][20][21]:
Bishoy Adel Khalaf | Samuel Alhoam Wilson | Hany Abdel-Masih Salib |
Melad Mackeen Zaki | Abanoub Ayad Attia | Ezzat Bushra Nassif |
Yousef Shokry Younan | Kirillos Shukry Fawzy | Majed Suleiman Shehata |
Somali Stéphanos Kamel | Malak Ibrahim Siniot | Bishoy Stéphanos Kamel |
Mena Fayez Aziz | Girgis Melad Sniout | Tawadros Youssef Tawadros |
Essam Badr Samir | Luke Ngati | Jaber Mounir Adly |
Malak Faraj Abram | Sameh Salah Farouk | Matthew Ayariga |
Mwendelezo
haririMnamo 19 Aprili 2015, Daish ilisambaza video nyingine iliyoonyesha uuaji wa Wakristo Waethiopia 30 hivi.[22][23][24][25][26][27]
Marejeo
haririMartin Mosebach aliandika kitabu juu yao: The 21 - A Journey into the Land of Coptic Martyrs.[28]
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Thousands mourn Egyptian victims of Islamic State in disbelief". Reuters. 16 Feb 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Februari 2015. Iliwekwa mnamo 26 Feb 2015.
{{cite web}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Ghanaian beheaded in Libya?". www.ghanaweb.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Juni 2017. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Libya's Mystery Beach and the 21st Victim - TalkLeft: The Politics Of Crime". www.talkleft.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "February anniversary of the brutal murder of 21 Coptic Christians in Libya one year ago.", DavidAlton.net, 2016-02-12. (en-US)
- ↑ "Ghanaian Christian Among Those Beheaded By ISIS".
- ↑ Online., Herald Malaysia. "The bodies of the Coptic Martyrs beheaded by Isis found in Libya". Herald Malaysia Online. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-02-13. Iliwekwa mnamo 2018-03-17.
- ↑ "Ghanaian beheaded in Libya?". www.ghanaweb.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-02-13. Iliwekwa mnamo 2018-03-17.
- ↑ "CRISTIANI COPTI DECAPITATI DALL'ISIS/ Sirte, rinvenuti 21 corpi in una fossa comune", Il Sussidiario.net. Retrieved on 2020-02-14. Archived from the original on 2018-02-13.
- ↑ "ISIL video shows Christian Egyptians beheaded in Libya". Al Jazeera. 16 Feb 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Januari 2018. Iliwekwa mnamo 16 Feb 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Tsourapas, Gerasimos (17 Machi 2015). "The Politics of Egyptian Migration to Libya". Middle East Research and Information Project. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 2016-11-03.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Later, when one of the perpetrators of the operation was arrested, he admitted in the investigation that the slaughter had taken place at the beach opposite Al Mahary Hotel in Sirte."ليبيا.. اعترافات مثيرة للشاهد على ذبح الأقباط". www.alarabiya.net (kwa Kiarabu). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-04-07. Iliwekwa mnamo 2018-03-17.
- ↑ ""البنيان المرصوص" تكشف التفاصيل الكاملة لذبح الأقباط المصريين في ليبيا", 2017-10-07.
- ↑ "داعشى يعترف بالتفاصيل الكاملة لاغتيال المصريين فى سرت الليبية بعد القبض عليه.. الإرهابى أبو عامر الجزراوى قاد المجموعة المجرمة.. وعناصر من تونس وليبيا شاركت فى الجريمة النكراء.. والسلطات تستخرج رفات الضحايا - اليوم السابع", اليوم السابع, 2017-10-07. (ar-Ar)
- ↑ "بالصور.. التفاصيل الكاملة لقصة ذبح الأقباط المصريين في سرت الليبية", إرم نيوز. Retrieved on 2020-02-14. (ar-AR) Archived from the original on 2018-02-13.
- ↑ "بعد العثور على رفات الضحايا.. تفاصيل ذبح المصريين بليبيا", البوابة نيوز. Retrieved on 2020-02-14. Archived from the original on 2018-03-30.
- ↑ Raman Media network: "ISIS Video Shows Mass Beheading of Christian Hostages" by Rakash Raman February 16, 2015
- ↑ Mahmoud Mostafa. "Libyan parliament confirms death of 21 kidnapped Coptic Egyptians", February 14, 2015. Retrieved on 16 Feb 2015. Archived from the original on February 15, 2015.
- ↑ "Coptic Church Recognizes Martyrdom of 21 Coptic Christians". 21 Februari 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "ماثيو " شهيد المسيح " قريبا فى مصر . - جريدة الأهرام الجديد الكندية". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-01. Iliwekwa mnamo 2017-11-21.
- ↑ "February anniversary of the brutal murder of 21 Coptic Christians in Libya one year ago". 12 Februari 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 Februari 2018. Iliwekwa mnamo 13 Februari 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ {{Cite web |url=http://www.youm7.com/story/2015/2/16/%D9%86%D9%86%D8%B4%D8%B1-%D8%A3%D8%B3%D9%85%D8%A7%D8%A1-%D8%B4%D9%87%D8%AF%D8%A7%D8%A1-%D9%85%D8%B5%D8%B1-%D8%A7%D9%84%D9%8021-%D8%B6%D8%AD%D9%8A%D8%A9-%D8%A5%D8%B1%D9%87%D8%A7%D8%A8-%D8%AF%D8%A7%D8%B9%D8%B4-%D9%81%D9%89-%D9%84%D9%8A%D8%A8%D9%8A%D8%A7/2068977 |title=Archived copy |access-date=2020-01-18 |archive-url=https://web.archive.org/web/20180325100855/http://www.youm7.com/story/2015/2/16/%D9%86%D9%86%D8%B4%D8%B1-%D8%A3%D8%B3%D9%85%D8%A7%D8%A1-%D8%B4%D9%87%D8%AF%D8%A7%D8%A1-%D9%85%D8%B5%D8%B1-%D8%A7%D9%84%D9%8021-%D8%B6%D8%AD%D9%8A%D8%A9-%D8%A5%D8%B1%D9%87%D8%A7%D8%A8-%D8%AF%D8%A7%D8%B9%D8%B4-%D9%81%D9%89-%D9%84%D9%8A%D8%A8%D9%8A%D8%A7/2068977 |archive-date=2018-03-25 |url-status=live
- ↑ "ISIS releases video purportedly showing killing of Ethiopian Christians in Libya". 20 Aprili 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Mei 2018. Iliwekwa mnamo 21 Mei 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Westall, Sylvia. "Islamic State shoots and beheads 30 Ethiopian Christians in Libya:..." Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-06. Iliwekwa mnamo 2018-05-29.
- ↑ "ISIS Video Appears to Show Executions of Ethiopian Christians in Libya". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-06. Iliwekwa mnamo 2018-05-29.
- ↑ "ISIL claims massacre of Ethiopian Christians in Libya". Aljazeera.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-05-29. Iliwekwa mnamo 2018-05-29.
- ↑ "ISIS behead and shoot 30 Ethiopian Christians in Libya". Mail Online. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-12. Iliwekwa mnamo 2018-05-29.
- ↑ McLaughlin, Eliott C.. "ISIS executes more Christians in Libya, video shows", CNN.
- ↑ "Lots of Coptic clergy were rubbing shoulders with members of the Bruderhof". The Tablet (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-12. Iliwekwa mnamo 2019-04-05.
Viungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |