Wafiadini saba wa Efeso
Wafiadini saba wa Efeso (walifia dini Efeso, leo nchini Uturuki, 250 hivi) walikuwa Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Decius[1].
Waliitwa majina haya lakini pia mengine mengi:
- Konstantino
- Denisi
- Yohane
- Masimiani
- Malko
- Machano
- Serapioni
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 27 Julai[2], au 4 Agosti au 22 Oktoba.
Wanatajwa pia na Kurani, sura ya 18, kwa jina la "Watu wa Pango" (اصحاب الکهف, aṣḥāb al kahf) na katika maandishi mengine.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
- Quran–Authorized English Version The Cave- Sura 18 – Quran – Authorized English Version
- "SS. Maximian, Malchus, Martinian, Dionysius, John, Serapion, and Constantine, Martyrs", Butler's Lives of the Saints
- Text containing the Seven Sleepers' commemoration as part of the Office of Prime.
- Sura al-Kahf at Wikisource
- Photos of the excavated site of the Seven Sleepers cult.
- The Grotto of the Seven Sleepers, Ephesus Ilihifadhiwa 4 Julai 2009 kwenye Wayback Machine.
- Mardan-e-Anjelos is a historical reenactment of the story of Ashaab-e-Kahf (also known as "The Companions of the Cave") Ilihifadhiwa 15 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Link to 3D stereoview image for cross-eyed free viewing technique of Seven Sleepers near Ephesus – Turkey Ilihifadhiwa 10 Oktoba 2016 kwenye Wayback Machine.
- Gregory of Tours, The Patient Impassioned Suffering of the Seven Sleepers of Ephesus translated by Michael Valerie
- The Lives of the Seven Sleepers from The Golden Legend by Jacobus de Varagine, William Caxton Middle English translation.
- The Seven Sleepers of Ephesus by Chardri, translated into English by Tony Devaney Morinelli: Medieval Sourcebook. fordham.edu Ilihifadhiwa 14 Agosti 2014 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |