Wikipedia ya Kiafrikaans

(Elekezwa kutoka Wikipedia ya Kiafrikaansi)

Wikipedia ya Kiafrikaans (Kiafrikaans: Afrikaanse Wikipedia) ni toleo la kamusi elezo huru ya Wikipedia kwa lugha ya Kiafrikaans. Mradi huu ulianzishwa mnamo tar. 16 Novemba 2001, na ilikuwa Wikipedia ya 11 kuanzishwa.[1] Na kwa tar. 13 Mei 2009, toleo hili limepita makala zaidi ya 12, 000[2] na kulifanya liwe tole la 79 la Wikipedia kwa ukubwa wa hesabu ya wingi makala. Lakini kwa sasa ni toleo la 79 kwa ukubwa baada ya Wikipedia ya Kiswahili. Mbali na Waafrika Kusini, Wikipedia pia uhaririwa na watu wa kutoka kule Uholanzi, Ubelgiji, Namibia, Ujerumani na baadhi yao kutoka nchini za Skandinavia.[3]

Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kiafrikaans
Wikipedia-logo-v2-af.svg
Kisara http://af.wikipedia.org/
Ya kibiashara? Hapana
Aina ya tovuti Mradi wa Kamusi Elezo ya Internet
Kujisajiri Hiari
Lugha asilia Kiafrikaans
Mmiliki Wikimedia Foundation

Awali lilikuwa toleo kubwa la Wikipedia katika lugha za Kiafrika, na pia lilikuwa toleo la kwanza la Wikipedia ya lugha za Kiafrika kupita makala zaidi 10,000[4].

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikipedia ya Kiafrikaans ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru