Open main menu

Kaliua ni jina la makao makuu ya wilaya mpya katika mkoa wa Tabora, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012 kutoka maeneo ya wilaya ya Urambo yenye postikodi namba 457 [1].

Kaliua inaundwa na Igunga, Kilometa Sitini, Ushokola, Tuombe Mungu, Kazaroho, Usinge, Igagara, Pozamoyo, Ulndwa noni.

TanbihiEdit