Yohane Mbatizaji Zhou Wurui

Yohane Mbatizaji Zhou Wurui (Lujiazhuang, 1883 hivi - Zhujiahe, 19 Julai 1900) alikuwa mvulana wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia.

Wafiadini Wakatoliki wa China.

Mbele yao alijitambulisha kishujaa kuwa Mkristo na kwa ajili hiyo alikatwa viungo mbalimbali na hatimaye aliuawa kwa shoka[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.