Yohane Mbilikimo (kwa Kigiriki: Ιωάννης Κολοβός, Ioannes Kolobos; kwa Kiarabu: ابو يحنّس القصير (Abū) Yuḥannis al-Qaṣīr[1]; Thebe[2], 339 hivi – Mlima Colzim, 405 hivi) alikuwa padri mmonaki wa Misri.

Mozaiki huko Hosios Loukas.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Septemba au 17 Oktoba[3] au 9 Novemba.

Maisha

hariri

Alipokuwa na umri wa miaka kumi na nane alikwenda na kaka yake kuishi jangwani[4] akawa mfuasi wa Pambo. Alisifiwa hasa kwa utiifu wake. Baadaye aliongoza wengi, akiwemo Arseni Mkuu.

Maisha yake yote alikula mara moja tu kwa siku, tena nafaka, matunda na mboga tu[5].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Ward, Benedicta (1975). The Sayings of the Desert Fathers: The Alphabetical Collection. Cistercian Publications. ISBN 978-0879079598.
  2. https://st-takla.org/Saints/Coptic-Orthodox-Saints-Biography/Coptic-Saints-Story_1969.html
  3. https://catholicsaints.info/saint-john-the-short/
  4. Butler, Alban. "St. John the Dwarf, Anchoret of Sceté", The Lives of the Saints, Vol.IX, 1866
  5. Stefaniw, Blossom. (2019). Christian Reading: Language, Ethics, and the Order of Things. University of California Press. p. 11. ISBN 978-0520300613

Vyanzo kwa Kiswahili

hariri

Vyanzo kwa Kiingereza

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.