Yohane wa Sahagun

Yohane wa Sahagun, O.E.S.A. (Sahagun, Leon, Hispania, 24 Juni 1419 - Madrid, Hispania, 11 Juni 1479) alikuwa padri mwanajimbo aliyejiunga na shirika la Waaugustino akapata umaarufu kwa mahubiri yake na kwa maisha ya kiroho[1].

Mtakatifu Yohane.

Papa Klementi VIII alimtangaza mwenye heri mwaka 1601, halafu Papa Aleksanda VIII akamtangaza mtakatifu tarehe 16 Oktoba 1690.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake[2].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. "Lives of the Saints, For Every Day of the Year," edited by Rev. Hugo Hoever, S.O.Cist., Ph.D., New York: Catholic Book Publishing Co., 1955, p. 223
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya njeEdit

Kigezo:Commons category inline

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.