Open main menu
Picha takatifu ya Mt. Yohane wa Tobolsk.

Yohane wa Tobolsk (jina la awali: Iwan Maksymowicz; Nizhyn, leo nchini Ukraina, 1651Tobolsk, Urusi, 10 Juni 1715) alikuwa mmonaki, padri, abati na hatimaye (1696) askofu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Mwaka 1916 Kanisa lake lilithibitishwa heshima hiyo.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yohane wa Tobolsk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.