Abersi (alifariki 167 hivi) alikuwa Mkristo wa karne ya 2 aliyepata kuwa askofu wa Hieropoli, Frigia, katika Uturuki ya leo[1]. Alifariki gerezani alipofungwa katika dhuluma ya kaisari Marko Aurelio[2].

Mchoro mdogo katika Menologion of Basil II.
Nakala ya maandishi juu ya kaburi lake ambayo kwa sasa yanatunzwa Roma.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Oktoba[3].

Maandishi hariri

Abersi ni maarufu katika historia ya Ukristo kwa sababu ya maandishi aliyoyataka juu ya kaburi lake, ambamo aliacha kumbukumbu ya safari zake hadi Roma na Nisibi akisema kote alikuta Wakristo wenzake[4].

Maandishi yake mengine yamepotea[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Ramsay, W. M. (1882). "The Tale of Saint Abercius". The Journal of Hellenic Studies 3: 339–353. JSTOR 623544. doi:10.2307/623544. 
  2. "St. Abercius Marcellus – Catholic Online". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 August 2007. Iliwekwa mnamo 2007-09-08.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  3. Martyrologium Romanum
  4. https://en.wikisource.org/wiki/Catholic_Encyclopedia_(1913)/Inscription_of_Abercius
  5. Christie, Albany James (1867). "Abercius". Katika Smith, William. Dictionary of Greek and Roman Biography and Mythology 1. uk. 2. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2005-07-28. Iliwekwa mnamo 2020-10-21. 

Marejeo hariri

  • Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co., 1924.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.