Agnes wa Poitiers
Agnes wa Poitiers (alifariki 586) alikuwa mwanamke wa Ufaransa ambaye alilelewa katika ikulu akawa kipenzi wa malkia Radegunda, aliyeanzisha chini ya kanuni ya Sesari wa Arles abasia huko Poitiers mwaka 557[1][2][3]. Agnes alijiunga nayo na kwa baraka ya Jermano wa Paris akawa abesi wake akaiongoza kwa upendo mkubwa hadi alipofariki dunia[4][5][6][7][8].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Effros, Bonnie. (2002). Creating Community with Food and Drink in Merovingian Gaul. Palgrave Macmillan. pp. 49-50. ISBN|978-0-312-22736-4
- ↑ Muir, Elizabeth Gillan. (2019). Women's History of the Christian Church: Two Thousand Years of Female Leadership. University of Toronto Press. p. 46. ISBN|978-1-4875-9385-8
- ↑ Mathisen, Ralph; Shanzer, Danuta (2017). Society and Culture in Late Antique Gaul. Revisiting the Sources. Taylor and Francis. uk. 235. ISBN 1-351-89921-X. OCLC 993683411.
- ↑ "St. Agnes of Poitiers" (kwa Kiingereza). Catholic Online. Iliwekwa mnamo 8 Juni 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Sainte Agnès de Poitiers". nominis.cef.fr (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 8 Juni 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Agnes of Poitiers, St". Encyclopedia.com. 26 Aprili 2020. Iliwekwa mnamo 8 Juni 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Saint Augustine's Abbey (2015). The Book of Saints (kwa Kiingereza). London: Aeterna Press.
- ↑ Brennan, p. 347
- ↑ Martyrologium Romanum
Vyanzo
hariri- Brennan, Brian, 1985. "St. Radegund and the early development of her cult at Poitiers". Journal of Religious History, 13(4), pp. 340-354.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |