Société Nationale Malgache de Transports Aériens (inayojulikana kama Air Madagascar) ni kampuni ya ndege iliyo mjini Antananarivo. Ni kampuni ndege ya kitaifa inayohudumu nchi za Uropa, Asia na Afrika. Makao yake makuu ni kwenye Uwanja wa Ndege wa Ivato.

Air Madagascar
IATA
MD
ICAO
MDG
Callsign
AIR MADAGASCAR
Kimeanzishwa 1962
Vituo vikuu Ivato International Airport
Programu kwa wateja wa mara kwa mara Namako
Ndege zake 13
Shabaha 47
Makao makuu Antananarivo, Madagascar
Watu wakuu Heriniaina Razafimahefa (Chairman)
Tovuti www.airmadagascar.com

Mnamo Oktoba 2021, Air Madagascar, iliyowekwa chini ya upokeaji, itaungana na kampuni yake tanzu ya Tsaradia kuwa Shirika la ndege la Madagascar.

Historia

hariri

Air Madagascar ilianzishwa mnamo Machi 1947 na Transports Aériens Intercontinentaux.

 
Air Madagascar aina ya Boeing 747-200B kwenye uwanja wa ndege wa Frankfurt mnamo 1996.

Miji inayosafiria

hariri

Afrika

hariri

Ndege zake

hariri
Ndege za Air Madagascar
Aina ya ndege Picha Jumla Wasafiriwa
ATR 42-320 2 49 (0/49)
ATR 42-500   1
ATR 72-500   2 70 (8/62)
Boeing 737-300   3 130 (12/118)
Boeing 767-300ER   2 244 (24/220)
'De Havilland Canada DHC-6 Twin Otter 4 19 (0/19)

Marejeo

hariri
  1. "Air Madagascar Flight Schedule 2006" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2009-09-16. Iliwekwa mnamo 2010-01-29.
  2. "Air Madagascar Flight Schedule 2007" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2007-08-19. Iliwekwa mnamo 2010-01-29.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Air Madagascar kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.