Al-Shabaab
Kuhusu Al-Shabaab nchini Msumbiji tazama Ansar al-Sunna Msumbiji
Al-Shabaab (kwa Kiarabu: الشباب, "Vijana"; kirefu: حركة الشباب المجاهدين, Ḥarakat ash-Shabāb al-Mujāhidīn; kifupisho: HSM; kwa Kisomali: Xarakada Mujaahidiinta Alshabaab; maana yake "Tapo la Vijana wa Jihad") ni kundi la Waislamu wenye itikadi kali lililoanzishwa nchini Somalia mwaka 2006 kutokana na Islamic Courts Union (ICU)[1].
Mwaka 2012 lilijiunga na Al-Qaeda.[2][3][4][5].
Wanamgambo wa Al-Shabaab walikadiriwa kuwa 7,000 - 9,000 mwaka 2014, wakiwemo wageni wengi, hasa kutoka Yemen, Sudan, Kenya, Tanzania, Afghanistan, Saudi Arabia, Malaysia, Pakistan na Bangladesh[6].
Mwaka 2015 waliacha miji yote muhimu na kuendelea kutawala maneno machache ya vijijini tu.[7]
Hata hivyo wanaendelea kupigana na wanaotazamwa nao kama maadui wa Uislamu hasa nchini Somalia, Kenya na Yemen. Kundi linaloitwa Al-Shabaab nchini Msumbiji lilianzishwa kwa njia tofauti, si tawi la Al-Shabaab wa Somalia.
Tanbihi
hariri- ↑ Abdisaid M. Ali 2008, 'The Al-Shabaab Al-Mujahidiin: A profile of the first Somali terrorist organisation', Institut für Strategie Politik Sicherheits und Wirtschaftsberatung (ISPSW), Berlin, Germany, June. Retrieved on August 26, 2008.
- ↑ "Al-Shabaab joining al Qaeda, monitor group says", CNN, February 9, 2012. Retrieved on February 9, 2012.
- ↑ Bruton, Bronwyn. "Divisive Alliance", The New York Times, February 21, 2012.
- ↑ "SomaliaReport: 23 February 2012 Daily Media Roundup". somaliareport.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Februari 26, 2012.
{{cite web}}
: Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ "Al-Shabaab Withdraws From Hudur". SomaliaReport. Februari 23, 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 6, 2012. Iliwekwa mnamo Julai 7, 2012.
{{cite web}}
: Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ "Al Shabaab tries to take control in Somalia". fpri.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Januari 6, 2011.
{{cite web}}
: Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "UN Points to Progress in Battling Al-Shabab in Somalia", 3 January 2015. Retrieved on 4 January 2015.
Marejeo
hariri- Hansen, Stig Jarle (15 Januari 2013). Al-Shabaab in Somalia: The History and Ideology of a Militant Islamist Group (tol. la 1st). Oxford University Press. ISBN 978-0199327874.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)