Ana
Ana (kutoka Kiebrania Hannah חַנָּה, yaani "fadhili") anaheshimiwa kama mama wa Bikira Maria na bibi wa Yesu kadiri ya mapokeo ya Ukristo na Uislamu, ingawa hatajwi katika Biblia wala katika Kurani, isipokuwa katika kitabu cha karne ya 2 kinachoitwa Injili ya Yakobo.
Humo anatajwa pia mume wake Yohakimu.
Wote wawili wanaheshimiwa kama watakatifu katika madhehebu mengi ya Ukristo, hasa tarehe 26 Julai.
PichaEdit
Picha takatifu ya Kimisri, karne ya 8
Ana akiwa na Maria na Kristo, Ujerumani, karne ya 15
Sanamu ya kichwa cha Mt. Ana, Annakirche, Dueren, Ujerumani, karne ya 15
Mosaiki ya Mt. Ana kupashwa habari, Chora Church, Istanbul, Uturuki, karne ya 12
Anna Selbdritt, Santiago de Compostela, Hispania
Anna Selbdritt, Huelgas, Hispania, imeathiriwa na picha takatifu za Kigiriki za aina "Hodegetria"
"Mt. Ana Akimfundisha Bikira Kusoma", Parokia ya Mt.Ulrich, Ulrichsberg, 1722
Tazama piaEdit
Viungo vya njeEdit
- Saint Anne at Patron Saints Index
- Brief American Catholic article on "Sts. Joachim and Ann"
- "Anna, Grandmother of Jesus" by Claire Heartsong Archived Machi 26, 2012 at the Wayback Machine.
- St. Anne page Archived Novemba 11, 2012 at the Wayback Machine. at Christian Iconography
- "Here Followeth the Nativity of Our Blessed Lady" Archived Oktoba 8, 2012 at the Wayback Machine. from the Caxton translation of the Golden Legend
- The Protevangelium of James Archived Novemba 15, 2011 at the Wayback Machine.
- The Gospel of Pseudo-Matthew
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |