Anibal João Melo
Anibal João da Silva Melo (alizaliwa Luanda, 5 Septemba, 1955) ni mwandishi, mwanahabari na mwanachama wa National Assembly of Angola. Kwa sasa ni mfanyakazi katika wizara ya mawasiliano ya kijamii.[1]
Anibal Joào da Silve Melo | |
---|---|
Amezaliwa | Anibal Joào da Silve Melo 5 septemba 1955 Luanda Angola |
Miaka ya kazi | mwandishi |
Maisha ya awali na elimu
haririAnibal João Melo alizaliwa mnamo Septemba 5, 1955, huko Mkoa wa Luanda, Angola. Familia yake ni pamoja na baba yake, Anibal de Melo; mama yake, Helena Guerra; na dada yake, Marina Melo.
Baba yake alikuwa mwanajeshi na mpigania uhuru wa Angola na kwa sababu ya baba yake kushughulika na mambo ya kijeshi, alikuja kukutana naye tena akiwa na umri wa miaka kumi na tano. Alisoma masomo yake ya uandishi wa habari katika nchi ya Brazili na kuhitimu mwaka 1991
Anibal amekuWa akiandika tangu mwaka 1985 na kitabu chake cha kwanza kutoka ni Definição. Tangu wakati huo amekuWa akiendelea kuandika.
Kazi zilichapisshwa
hariri- Definição (1985)
- Fabulema (1986)
- Poemas Angolanos (1989)
- Tanto Amor (1989)
- Canção do Nosso Tempo (1991)
- Ocaçador de nuvens (1993)
- Limites e Redundâncias (1997)
- A luz mínima (2004)
- Todas as palavras (2006)
- Autorretrato (2007)
- Novos poemas de amor (2009)
- Cântico da terra e dos homens (2010).
Kazi nyingine
haririHadithi fupifupi
Tuzo
hariri- Prémio Maboque de Jornalismo (2008)
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anibal João Melo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |