Mchekwa

(Elekezwa kutoka Bauhinia)
Mchekwa
(Bauhinia spp.)
Mchekwa mwekundu
Mchekwa mwekundu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Fabales (Mimea kama mharagwe)
Familia: Fabaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mharagwe)
Nusufamilia: Cercidoideae
Jenasi: Bauhinia
L.
Ngazi za chini

Spishi zaidi ya 500, 7 katika Afrika ya Mashariki:

Michekwa (Bauhinia spp.) ni vichaka au miti ya familia Fabaceae na kuna zaidi ya spishi 500. Jina hili hutumika kwa Piliostigma thonningii pia lakini spishi hii ina majina mengi mengine (angalia mchekeche).

Michekwa inatokea misituni kwa kanda za tropiki za Afrika, Amerika na Asia lakini spishi kadhaa zinatokea katika savana au nusujangwa. Majani yao yana umbo la unyayo wa ngamia. Maua yao ya sm 7.5-12.5 yana petali tano zenye rangi ya nyeupe, njano, nyekundu, pinki au zambarau.

Spishi za Afrika ya Mashariki

hariri
  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mchekwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.