Bernardo wa Vienne

Bernardo wa Vienne, O.S.B. (Lyon, 778 hivi - Romans, katika Ufaransa wa leo, 22 Januari 842) alikuwa mmonaki Mbenedikto na hatimaye askofu mkuu wa Vienne kuanzia mwaka 810 hadi kifo chake[1][2][3][4].

Sanamu yake huko Ambronay.

Kabla ya hapo alikuwa mwanajeshi wa Karolo Mkuu na kwa miaka saba baba wa familia tajiri. Lakini, kwa kufuata wito wake wa awali, aliuza mali yake na kujenga monasteri alipoingia mwenywe.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Januari[5].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Nominis: Saint Barnard (Kifaransa)
  2. Histoire hagiologique de Belley ou recueil des vies des saints et des bienheureux nés dans ce diocèse, Jean-Irénée Depéry, édition Bottier, 1834, pp. 113-198
  3. Laurent Jacquot, Romans - Traces d'histoire, coll. '"Les Patrimoines"', ed. Dauphiné Libéré, 2008
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/38430
  5. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.