Orodha ya Marais wa Kenya

Ukarasa huu una orodha ya marais wa Kenya:

Bendera ya Rais ya Uhuru Kenyatta
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Orodha ya wakuu wa serikali ya Kenya

hariri

Jamhuri ya Kenya (1964 - hadi leo)

hariri
Jubilee Alliance
( #F5051c)
NARC/PNU
( #0000CD)
KANU
( #2BAE45)


# Picha Jina Muda Mwaka wa Uchaguzi/Asilimia ya wapiga kura
1   Jomo Kenyatta
(1893 – 1978)
12 Desemba
1964
6 Desemba
1969
1964
6 Desemba
1969
14 Octoba
1974
1969 — Hakupingwa
14 Octoba
1974
22 Agosti
1978 (Alifariki akiwa Rais)
1974 — Hakupingwa
Katika muda huu, Makamu wa Rais Daniel Arap Moi alikuwa anasimamia Cheo/Kiti cha Rais.
2   Daniel Arap Moi
(1924 – 2020)
8 Novemba
1979
26 Septemba
1983
1979 — Hakupingwa [1]
26 Septemba
1983
21 Machi
1988
1983 — Hakupingwa [2]
21 Machi
1988
29 Desemba
1992
1988 — Hakupingwa [3]
Chama zote ziliwezeshwa kupingana katika Uchaguzi wa 1992
(2)   Daniel Arap Moi
(1924 – 2020)
29 Desemba
1992
29 Desemba
1997
1992 — 36.4%
29 Desemba
1997
29 Desemba
2002
1997 — 40.6%
3   Mwai Kibaki
(1931– 2022)
29 Desemba
2002
29 Desemba
2007
2002 — 61.3%
30 Desemba
2007
3 Aprili
2013
2007 — Haijulikani %
4   Uhuru Kenyatta
(1961– )
4 Aprili
2013
2017 2013 — 50.07%
6,158,610
25 Novemba
2017

2022
Uchaguzi wa Urais uliorudiwa Oktoba 2017 — 98.26 %

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri