Eneo bunge la Imenti ya Kati
Eneo bunge la Imenti ya Kati ni moja kati ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Meru. Lina wodi nane, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la utawala wa mitaa la Meru Central County.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilibuniwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Kirugi Laiboni M’Mukindia | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Kirugi Laiboni M’Mukindia | KANU | |
1997 | Gitobu Imanyara | Ford-K | |
2002 | Kirugi Laiboni M’Mukindia | NARC | |
2007 | Gitobu Imanyara | CCU |
Wodi
haririWodi | |
Wodi | Wapiga Kura waliojiandikisha |
---|---|
Gatimbi | 8,926 |
Kariene | 7,893 |
Katheri | 9,835 |
Kiagu | 7,164 |
Kibaranyaki | 5,338 |
Kibirichia | 12,485 |
Kithirune | 5,973 |
Mwangathia | 10,615 |
Jumla | 68,229 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Imenti ya Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |