Eneo bunge la Juja


Eneo bunge la Juja ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo kumi na mawili ya Uchaguzi katika Kaunti ya Kiambu.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1969.

Miji ya Thika, Ruiru, Juja na Kilima Mbogo imo katika Jimbo hili.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo zaidi
1969 Gitu Kahengeri KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Peter Kenyatta Muigai KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Gitu Kahengeri KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 George Kamau Muhoho KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 George Kamau Muhoho KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Stephen Rugendo Ndicho Ford-Asili
1997 Stephen Rugendo Ndicho SDP
2002 William Kabogo Gitau Sisi kwa Sisi
2007 George Thuo PNU

Lokesheni na Wodi

hariri
Lokesheni
Lokesheni Idadi ya Watu*
Gatuanyaga 18,975
Juja 43,505
Ruiru 115,885
Munisipali ya Thika 94,372
Jumla 272,737
sensa ya 1999.
Wards
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Eneo
Githurai Kimbo 10,117 Ruiru munisipali
Gitothua 9,101 Munisipali ya Ruiru
Kahawa Sukari 5,910 Munisipali ya Ruiru
Murera 7,616 Munisipali ya Ruiru
Viwanda / Biashara 7,767 Munisipali ya Ruiru
Biashara 7,503 Thika Munisipali
Hospital 4,956 Munisipali ya Thika
Kiganda 6,473 Munisipali ya Thika
Komu 9,313 Munisipali ya Thika
Majengo 3,429 Munisipali ya Thika
Market 4,841 Munisipali ya Thika
Mugumoini 7,613 Munisipali ya Thika
Ndururumo 5,714 Munisipali ya Thika
Gatuanyaga 7,897 Thika county
Juja 6,878 Thika county
Kalimoni 6,691 Thika county
Jumla 111,819
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri

Viungo vya Nje

hariri