Eneo bunge la Lari
Eneo bunge la Lari ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Kiambu miongoni mwa majimbo kumi na mawili ya kaunti hiyo.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo hili lina wodi sita ambazo huwachagua madiwani kwa Baraza la Kaunti.
Historia
haririJimbo la Lari lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1966, uchaguzi wa pili wa Taifa huru la Kenya. Mbunge wake wa kwanza alikuwa J. M. Koinange.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1966 | J. M. Koinange | KANU | |
1969 | Andrew Kuria Kinyanjui | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Andrew Kuria Kinyanjui | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Peter Turuthi Mungai | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Peter Turuthi Mungai | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Andrew Kuria Kinyanjui | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Philip Gitonga | Ford-Asili | |
1997 | Philip Gitonga | SDP | |
2002 | James Viscount Kimathi | KANU | |
2007 | David Njuguna Kiburi Mwaura | PPK |
Kata na Wodi
haririKata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Gatamaiyu | 14,532 |
Gitithia | 8,304 |
Kamae | 11,905 |
Kamburu | 13,970 |
Kijabe | 21,000 |
Kinale | 13,127 |
Kirenga | 17,991 |
Lari | 9,425 |
Nyanduma | 15,993 |
Jumla | x |
*Hesabu ya 1999. |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura waliojiandikisha |
---|---|
Gatamaiyu | 12,122 |
Kijabe | 9,309 |
Kinale | 8,486 |
Kirenga | 7,620 |
Lari | 6,962 |
Nyanduma | 6,007 |
Jumla | 50,506 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Lari kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |