Eneo bunge la Nyando
Eneo bunge la Nyando ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo matatu ya Kaunti ya Kisumu.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzisha wakati wa uchaguzi mkuu wa 1963 lakini kwa uchaguzi uliofuatia mnamo 1966 jimbo hili liligawanwa na kuunda jimbo ipya la Nyakach, huku sehemu za Jimbo la Winam zikishirikishwa katika Jimbo hili la Nyando[1].
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Okuto Bala | KANU | |
1966 | Okuto Bala | KANU | |
1969 | T. O. Ogada | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Matthew C. Onyango Midika | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Matthew C. Onyango Midika | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | T. O. Ogada | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | James Miruka Owuor | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Clarkson Otieno Karan | Ford-K | |
1997 | Paul Orwa Otita | NDP | |
2002 | Eric Opon Nyamunga | NARC | |
2007 | Frederick Outa Otieno | ODM |
Wodi
haririWodi | ||
Wodi | Wapiga Kura waliojiandikisha |
Serikali ya Mtaa |
---|---|---|
Kakola | 6,441 | Ahero (mji) |
Kochogo | 3,510 | Ahero (mji) |
Kombura / Katho | 4,873 | Ahero (mji) |
Onjiko / Wawidhi | 6,697 | Ahero (mji) |
Awasi | 5,844 | Nyando County |
Bwanda / Kanyagwal | 3,111 | Nyando County |
Kawino | 5,044 | Nyando County |
Kikolo (East Kano) | 2,722 | Nyando County |
Kochieng' | 6,441 | Nyando County |
Jumla | 44,683 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Nyando Constituency: About Nyando Constituency Ilihifadhiwa 2 Machi 2011 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje
hariri- Nyando Constituency Ilihifadhiwa 1 Agosti 2015 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Nyando kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |